MSAADA: Kukaa hostel za chuo au kupanga mtaani ni kipi bora?

MSAADA: Kukaa hostel za chuo au kupanga mtaani ni kipi bora?

fahad1208

Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
34
Reaction score
5
Nmechaguliwa st.john unvrsty ya Dodoma ila hadi sasa bado sijaamua ntakaa katka hostel za chuo au la.Kwa mwaka st.john wanatak Tsh.392500/= Je kukaa hostel za chuo na mtaan kupi kuna faida zaidi? Naomben ushaur katka hil
 
mtaani....free to carry out ur timetable eazly!!!
 
bora kukaa mtaani coz mtaani unaweza amua kuchangia room na washikaji na mkapunguza costs kulko hiyo cost ya hostel na ndani ya hostel mnajikuta mnakaa mtu 4....... so its better kukaa street!!!!!!
 
Du,sasa hivi navyo vinakuwa vyuo vikuu vya kata,wanafunzi wanakaa gheto?
 
Nmechaguliwa st.john
unvrsty ya Dodoma ila hadi sasa bado sijaamua ntakaa katka hostel za
chuo au la.Kwa mwaka st.john wanatak Tsh.392500/= Je kukaa hostel za
chuo na mtaan kupi kuna faida zaidi? Naomben ushaur katka hil

M2 wang mtaan fresh zaidi kama vp jipange 2 pia mtaani utajifunza kuhusu maisha jins yalivyo.
 
Nmechaguliwa st.john unvrsty ya Dodoma ila hadi sasa bado sijaamua ntakaa katka hostel za chuo au la.Kwa mwaka st.john wanatak Tsh.392500/= Je kukaa hostel za chuo na mtaan kupi kuna faida zaidi? Naomben ushaur katka hil

nakushauri kwa gharama hzo usikae hostel ila kua muangalifu utapofika chuo hcho kwasababu kina mazingira yasiyo salama ambayo kumekua na matukio ya ubakaji sana kwa wanaume na wanawake
 
nakushauri kwa gharama hzo usikae hostel ila kua muangalifu utapofika chuo hcho kwasababu kina mazingira yasiyo salama ambayo kumekua na matukio ya ubakaji sana kwa wanaume na wanawake

kvp? Katka mazngira ya chuo au mtaani?
 
Ukikaa mtaani ndo vizuri maana ndo ivo unayaanza maisha taratibu, lakini epuka kuchangia chumba eti na washkaji we jibane panga chumba chako na kila utakachnunua kiwe chako, wakati umemaliza chuo na unahangaikia ajira mjini inapendeza kama unatokea kwako hasa kwa wale wa mkoani kama mimi wa Katavi maana unakuta huna ndugu mjini then inakuwa taabu sana kufanya michakato ya maisha hapa mjini. Lakini jihadhari usije ukawa unataka kukaa mtaani ili uharibu watoto wa watu kwa tuhela twako twa boom utalaaniwa, bora ukae huko huko chuo utoane jasho na wenzio
 
kvp? Katka mazngira ya chuo au mtaani?

matukio hayo yanatokea katika mazingira ya chuo ni hostel na mitaa yote inayo zunguka chuo. Uliza wanaosoma pale watakupa mkanda mzima ulivyo.
 
Nmechaguliwa st.john unvrsty ya Dodoma ila hadi sasa bado sijaamua ntakaa katka hostel za chuo au la.Kwa mwaka st.john wanatak Tsh.392500/= Je kukaa hostel za chuo na mtaan kupi kuna faida zaidi? Naomben ushaur katka hil

jipange tutakutana!!!!!!!
 
Back
Top Bottom