msaada kukodi shamba

Joined
May 14, 2013
Posts
2
Reaction score
0
jamani wajasiria mali naitaji kukodi shamba hekari mbili mkoan dar or wilaya zilizo karibu na dar na zao gani liko kwenyemsim nikianza kulima saizi
 
Nilikuandikia wiki iliyopita lakini naona kulikuwa na tatizo ujumbe haukufika. Nilisema nina ekari mbili pale Kisarawe wilayani, eneo ni karibu sana na mjini. Zipo nataka kusikia ofa yako kwa aidha msimu au mwaka. Muhogo, mahindi, matikitiki maji vinakubali bila wasiwasi. Haya funguka!
 
Mzee Mukaruka,

Sh ngapi?
Inabidi ulione kwanza ndio tuzungumze. Pia nataka kujua wewe unataka kukodi kwa muda gani? Msimu mmoja au miezi sita au mwaka mmoja. Vigezo hivyo ndiyo vina determine bei au siyo?!
 
Maundumula na Mwanamke tajiri mdog mlionyesha interest kwenye hilo shamba, kwa sasa matatizo yangu yamepungua tunaweza kuanza shughuli. Maundumula uliulizia bei ya kukodi. Bei za soko kwa sasa ni Shilingi 1000/= kwa siku na kwa mwaka inazungushwa na kuwa Shilingi 350,000/= badala ya Sh. 365,000/=. Haya tuwasiliane kwa ajili ya kufanya kazi wiki ijayo, say Jumamosi ya tarehe 22.06.2013 au kadri mtakavyopendekeza, tunaweza kwenda site! Nasubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…