Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndyo kna tatizo, hapo rud kwenye ajira portal ka update upya information zako especially kwenye GPA yako,Naomba kufahamu kuhusu hili. Kuna ndugu yangu ali update kimakosa G.P.A yake ya chuo ajira portal akaandika 2.8 baada ya 3.5.
Je, hapo kuna tatizo lolote na inawezekana ku update?
Unaweza tu uka update mkuu hakuna tatizoNaomba kufahamu kuhusu hili. Kuna ndugu yangu ali update kimakosa G.P.A yake ya chuo ajira portal akaandika 2.8 baada ya 3.5.
Je, hapo kuna tatizo lolote na inawezekana ku update?
Mara nyingi ni hizo ulizo orodhesha ni baadhi sana ya post zinazokazia GPA,ila nyingi hakuna kikomo cha GPA ata ukipiga zako gentleman sawa tuu😂😂 kikubwa ufaulu usailiUkiacha academic/research institutions , hivi bado Kuna watu wanaajiri Kwa kuangalia GPA?
Una Kadi ya Ccm ? kama huna ni huzuni.Kupata notification ya kuitwa kwenye interview naipata wapi? Au wanakutumia kwa njia gani baada ya kuapply?