Huyo kuku mle tu mbona hasara sasaHabari wakuu
Kuna kuku tulimpa Mayai 13 Atamie. Ila cha ajabu ametotoa vifaranga 2. Siku ya jumanne, leo siku ya ijumaa kwanzia asubuhi hataki Tena kutamia , shida ninini?
Je haya Mayai 11 yaliyobaki tunaweza kuhamishia kwa kuku wengine wanao tamia?
Mkuu jaribu kutumia pia mbinu ya incubator. Kuna watu wanafanya biashara ya kutotolesha mayai kwa bei nafuu(300 au 400) kwa yai moja ,japo utaingia gharama kwenye kuwakuza
Huyo kuku mle tu mbona hasara sasa
Na hapa pia ndio msingi wa tatizo lake ulipoanzia.kuku aliyetotoleshwa kwa incubator hawezi akalalia mayai akatotoa with efficiencyNaunga mkono hoja ila inabidi awe na egg tester maana watotoleshaji nao ni wasanii unaweza ukapeleka mayai Mia wakakwambia mayai hamsini yote ni mabovu