sumu-ya-panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 632
- 572
nimekua nikiwapa pumba niliyochanganya na uduvi,majani,kabichi mabaki ya chakula ugali,wali,mifupa ya samaki,Vipi umewafuatilia wanakula chakula vizuri?
Mkuu leta namba yako ya Whatssp nikuadd kwenye group letu la ufugaji wa kisasa utapata ushauri kutoka kwa wadau humo.nimekua nikiwapa pumba niliyochanganya na uduvi,majani,kabichi mabaki ya chakula ugali,wali,mifupa ya samaki,
Dah! niliuza smartphone nikaanza kufuga kukuMkuu leta namba yako ya Whatssp nikuadd kwenye group letu la ufugaji wa kisasa utapata ushauri kutoka kwa wadau humo.
Group hilo lilianzia humu
OK. Kila la kheriDah! niliuza smartphone nikaanza kufuga kuku
Niungenge kwenye hilo groupMkuu leta namba yako ya Whatssp nikuadd kwenye group letu la ufugaji wa kisasa utapata ushauri kutoka kwa wadau humo.
Group hilo lilianzia humu
Aki wewe umevurugwaWatakua wanastua KIJOTI wakizoea wataacha wala usiogope
Watakua wanastua KIJOTI wakizoea wataacha wala usiogope
Mna Bahati Hapa Sio Facebook, Ningetuka Hapa Mpaka Basi.wape bia safar lager .utanipa mrejesho
Mna Bahati Hapa Sio Facebook, Ningetuka Hapa Mpaka Basi.wapeleke moi
Nami niunge 0655048547Mkuu leta namba yako ya Whatssp nikuadd kwenye group letu la ufugaji wa kisasa utapata ushauri kutoka kwa wadau humo.
Group hilo lilianzia humu