Msaada: Kuku wangu JICHO linatoa tongotongo na kuziba

Weera weraaaa

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
740
Reaction score
657
Msaada wakuu.

Namsaidiaje huyu Kuku? Nimekuta ana JICHO lina tongotongo linaziba, amekosa raha kabisa hata kula yake ya shida.
 
Msaada wakuu. Namsaidiaje huyu Kuku? Nimekuta ana JICHO lina tongotongo linaziba, amekosa raha kabisa hata kula yake ya shida
Mara kadhaa mafua sugu humletea Kuku kitu kama mafuta mazito meupe kwenye koo au machoni, hivyo ikiwa ana dalili za mafua unaweza msaidia kuku kwa kumkamua taratibu hayo matongotongo unayoyaona kisha msafishe kwa pamba au kitambaa safi, mpake mafuta na umuanzishie dozi ya mafua haraka.

Ungeweka picha ya Kuku ingesaidia zaidi kufahamu ugonjwa lakini kwa hisia hivi twaweza kuwa tunazungumzia ugonjwa usio sahihi.
 
Ahsantee ndugu kesho asubuhi nitakua shamba na kumpiga Picha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…