Wadau nina kuku wangu wa kienyeji wana wiki wametoka dodoma, leo asubuhi wamekufa 2,,wanaumwa mafua makali mpaka wanashindwa kuhema vizuri,wanakua kama wanakoroma na kusinzia....naombeni ushauri nitumie dawa gani,,,,,kuna dawa nimewapa lakini naona haisaidii,,,,msaada wenu pls