Msaada: Kuku wangu wa kisasa wana tatizo

ibrahim yusuf

New Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
2
Reaction score
1
Habari mimi ni mara ya kwanza kuanza kufuga kuna kuku wawili sehemu ya haja kubwa imetoka njee hili ni tatizo gani?
 
Habari mimi ni mara ya kwanza kuanza kufuga kuna kuku wawil sehemu ya haja kubwa imetoka njee hili ni tatizo gani?
Nenda maduka ya dawa za mifugo watakwambia tatizo na kukupa tiba.

Hapa JF unapoteza muda, my experience shows that Jf has got no msaada/aid in such critical issues except siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…