Wakuu habari za jioni, naomba mnisaidie kupata control namba nikalipe fine ya traffic ikifka saa 6 usiku inabet 7500, najaribu kutafta kwenye mtandao wao leo umegoma kabisa.

Mkuu,
Ingia Playstore download application ya GEPG kila kitu kipo hapo ni kuingiza namba ya gari tu.
Parking zote za TARURA na idara zote za serikali zipo hapo.