Msaada kulipiwa mafunzo ya TMT, yatayofanyika Dar es salaam tareh 23/10/2017-27/10/2017

YouTube

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Posts
936
Reaction score
361
Op Msaada kulipiwa mafunzo ya TMT, yatayofanyika Dar es salaam tareh 23/10/2017-27/10/2017

Mm ni kijana wa kiume, umri wangu ni late 20s naish Dar es salaam, mm ni mhitimu chuo fulani nchin undergraduate, masomo ya teknolojia ya mawasiliano miaka kadhaa iliyopita. Ajira ni ngumu kupata, naendelea kuapply bado sijakata tamaa.

Fursa ya forex iliyoletwa jukwaan na ndugu yetu ONTARIO nimeielewa vizuri na nimevutiwa nayo sana, na Vitabu kadhaa nimeanza kuvisoma na demo account nimedownload.

Ili kufanikisha kuielewa fursa hii na kuifanya kwa usahihi hapana budi kihudhuria training hii ya wiki moja inayotolewa na TMT.

OMBI:
Msaada wa kulipiwa training inayogharimu Tsh 130,000/-, pesa hii inatakiwa kulipwa kabla ya tareh 23/10/2017 . Hapa nilipo nimekwama kwa kila hali yaani nimekosa, nikaona nilete jukwaani. Mtu atakayeguswa nitashukuru sana akinisaidia kunilipia, asinipe cash anitolee moja kwa moja kwa ofis za TMT zilizopo jangid plaza. Au anaweza wasiliana na sekretari wa TMT namba 0754311568 akalipa moja kwa moja kwa mpesa au either way. Akishalipa anijulishe tu ametumia utaratibu gani (anipe maelekezo) niende nichukue risiti, hivyo niweze kuhudhuria mafunzo hayo yatayoanza jumatatu ijayo. Pia Akinitumia moja kwa moja nitalipa na kuweka uthibitisho wa malipo kwenye huu uzi, na kumtumia pia yeye uthibitisho. La mwisho Akiweza kunisaidia na kianzio cha $100 nideposit right way kwenye account ya jpmarket nitamshukuru sana ili nianze kutrade mara tu baada ya kuiva.

Ninaahidi kuzilipa kwa muhusika nikifanikiwa, akisema nisimlipe ninaahid kumlipia mtu mmoja training na kumpa kianzio cha $100.

Natanguliza shukran zangu za dhati, mbarikiwe wote. Mungu awazidishie maradufu kwa kila unachotoa kumsaidia mwenye uhitaji.

Mficha uchi hazai, wenye kucheka na kutoa maoni kwa dharau na kusema mm tapeli mnaruhusiwa.

Yeyote mwenye kuguswa. Pls send me pm au use this number - - - - - - - -.

Thank you!

Siku njema!
 
Nashare status sawa na yako ila sjawahi kufikiria kuomba au kukopa!!! Usitafute hruma watu wakuhurumie watakudharau mno mno mno?!! Pambana mkuu fanya hata vibarua utaipata tu
 
Acha ujinga wewe,tukilipa iyo ela na ya kutrade utaomba pia au
Mkuu uhitaji mkubwa sana ni wa hii training isinipite, training ina muda maalum. Itanipita.

Nikishaiva pesa ya kutrade haina muda wa kupatikana, ikipatikana wakati wowote mbele ni kutrade tu sababu tayari nitakua nina abc zote.
 
Boss njoo ofisini Jumatatu kabla ya saa 4 unione... mwambie secretary nimekupa appointment, kabla haujaingia darasani tuonane tupige story boss. Where there's no vision, there's no hope.
Hongera sana! Ni kazi ya muhusika tu kuwa makini wasije wakajitokeza wengine wakavaa identity yake wakamuwahi coz wabongo bana hawana dogo!! Utashangaa unapokea wageni zaidi ya huyu wakijieleza kuwa ndo yeye

Moderators waondoe post hii kupunguza usumbufu wa wasio waaminifu
 
Boss njoo ofisini Jumatatu kabla ya saa 4 unione... mwambie secretary nimekupa appointment, kabla haujaingia darasani tuonane tupige story boss. Where there's no vision, there's no hope.
Mkuu Ontario, mafunzo ni lini na lini?
 
Noted mkuu.
Asante kwa angalizo.
Utambulisho muhimu ni namba ya simu hapo juu, na kuthibitisha kwa kulog in jf kutumia jina hili.
Asante, pia nitaleta mrejesho.
 
Boss njoo ofisini Jumatatu kabla ya saa 4 unione... mwambie secretary nimekupa appointment, kabla haujaingia darasani tuonane tupige story boss. Where there's no vision, there's no hope.
Ontario the man himself .

Hongera sana boss kwa moyo wako wakujitolea ni MUNGU tu atakulipa.

Endelea kusaidia vijana wenzako kwa moyo huo huo .

Mi binafsi nipo mkoani kikazi ningependa kuhudhuria training ila nimebanwa sana nikaona hii fursa haiwezi kunipita hivi hivi .Nina mdogo wangu amemaliza MD hapo MUHAS kwakuwa yupo kitaani anasubiria Intern nikaona tufanye mchakato ahudhurie yeye kwanza na jumatatu atakuwa hapo jangidi ashakamilisha michakato yote .

Mi naendelea kula vitabu ntajifunza kupitia kwake nikipata likizo .

Golden chance never come twice.
 
Watanzania watu tumekuwa na roho mbaya sana kiasi kwamba mtu akitokea mwenye moyo wa kutoa alichonacho anaonekana mbaya. Changing the world begins with you boss!!
Wabongo nuksi sana aisee .

Huwa ni watu was ajabu ajabu tu yaani hawaeleweki .

Ukishanusa harufu ya watu was dizaini hiyo ni kuwapotezea tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…