Natumain ni wazima wa Afya, Je kuna ulazima wa mwajili kumpa barua (notes) Mwajiriwa kuwa hatoweza kumwongezea mkataba mwingine atakapo maliza mkataba alio nao. Nawasilisha kwenu kwa ufafanuzi wa sheria zinavyo sema