MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,607
Chainsaw zinazuiwa??Hbr wakuu
Naomba kufahamishwa kama Kuna katazo lolote au kibali chochote kumiliki hii mashine kama tool katika farmkit. Kuna shamba kubwa nahitaji kusafisha lote na kwa haraka huu mtambo naona ndio utarahisisha hilo zoezi.
Nimesikia zinazuiwa, mara zinakamatwa baadhi ya maeneo.... Msaada mwenye kujua ukweli juu ya hilo.
asante mkuu, nitafanya hivyo...Chainsaw zinazuiwa??
Sidhan maana hapa nilipo zipo nyiingi zinapiga kazi.
Labda inawezekana wanazuia kukata miti ovyo.
Ni bora uende halmashauri husika ya hapo ulipo idara ya misitu na kilimo watakupa mwelekeo wa reserved forest na pia uliza swali lako
Mkuu au mimi sijakuelewa. Ununue chain saw kusafisha shamba? Kila msimu utakuwa unakata miti kwemye shamba lako? Ningekuwa mimi ningekodi sio kununua.Hbr wakuu
Naomba kufahamishwa kama Kuna katazo lolote au kibali chochote kumiliki hii mashine kama tool katika farmkit. Kuna shamba kubwa nahitaji kusafisha lote na kwa haraka huu mtambo naona ndio utarahisisha hilo zoezi.
Nimesikia zinazuiwa, mara zinakamatwa baadhi ya maeneo.... Msaada mwenye kujua ukweli juu ya hilo.
Ukitaka kukodi bei ganiChainsaw zinazuiwa??
Sidhan maana hapa nilipo zipo nyiingi zinapiga kazi.
Labda inawezekana wanazuia kukata miti ovyo.
Ni bora uende halmashauri husika ya hapo ulipo idara ya misitu na kilimo watakupa mwelekeo wa reserved forest na pia uliza swali lako
Hiyo ngumu kwan mi mwenyewe sifanyi kazi ya timbering lakini nipo karibu sana na wakataji wa mbao.Ukitaka kukodi bei gani
Ni kweli wanafanya kuzuia ukataji miti ovyoKijiji yalipo mashamba yangu kumiliki chain saw unahitajika uwe na kibali kutoka ofisi ya kijiji na unakilipia. Pia kukata miti lazima uwe na kibali cha kukata miti hata kama ni shamba lako.
Uzi mzuri sana huu
Vip mkuu ulifanikisha kusafisha shamba