Msaada: Kumtoa mtu kwenye matumizi ya madawa ya kulevya

Blessed Keinerugaba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
4,754
Reaction score
4,746
Dada yangu mwenye umri wa miaka 20 anatumia madawa ya kulevya, nahitaji kuelekezwa mahali au namna ya kuacha tabia hii.

Nahitaji msaada.
 
dada yangu mwenye umri wa miaka 20 anatumia madawa ya kulevya,nahitaji kuelekezwa mahali au namna ya kuacha tabia hii pliz help needed

Ingia katika blog ya ladyjaydee peruzi kurasa za nyuma,i think za march-may 2012 kuna post aliweka ina rehabilitation centre for addicts imenzishwa ipo Mikocheni...kuna contacts zao humo...all the best with her mkuu
 
Nenda pale Mwenge nyuma ya zile butcher za nyama,kuna kituo cha kuwasaidia watu wa namna hiyo.
 
dada yangu mwenye umri wa miaka 20 anatumia madawa ya kulevya,nahitaji kuelekezwa mahali au namna ya kuacha tabia hii pliz help needed

Kama hupo maeneo ya kinondoni, mpeleke Mwananyamala hospitali wamefungua kliniki kwa ajili ya watumia madawa ya kulevya ( Methodona Clinic).

Kama hupo pande zingine za Dar, mpeleke Muhimbili.
 
Zanzibar Sober House. Contact: +255 782 000 426 (Suleiman) au +255 719 296 501 (Seif)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…