Apollo one spaceship
JF-Expert Member
- Jan 28, 2021
- 245
- 457
Wakuu natumaini hamjambo naomba ushauri nichukue maamuzi gani
Kuna binti amezoea kunipiga vizinga ilhali sina mahusiano nae ni ile tu kujuana kishikaji, mbaya zaidi anakuingizia uongo ambao muda mwingine ukija kuchunguza yeye mwenyewe anakiri kuongopa.
Maisha magumu naona kama ananipa majukumu ambayo siyo yangu. Hivyo naombeni ushauri nichukue hatua gani wakuu