Msaada: Kuna binti ananipiga vizinga vya uongo

Kwanza kabisa inabidi uanze kumkwepa, yale mazingira ambayo huwa yanawakutanisha anza kuyakwepa. Kama mna mawasiliano akikupigia simu usipokee, siku akikuona akikuuliza mwambie kuwa nilikuwa mbali na simu au sababu yoyote isiyo na maana ya kumvunja moyo. Na pia akikupiga mzinga mpe visababu vingivingi yaani uonyeshe nawe una matatizo yako mengi tu hivyo huwezi kumsaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…