Acha Maneno
Member
- Oct 6, 2018
- 54
- 112
Hii hali ilitakaga kunitokea ikatoweka tu yenyewe, unasikia km kuna watu wanapiga ngoma masikioniNimehangaika sana mahospitalini lakini shida niliyonayo ni haitibiki (Tinnitus) ni ugonjwa wa kawaida na unawakumba watu wengine Duniani.
Naomba mwenye kujua kuhusu Chama Cha Watu wenye usikivu hafifu anisaidie.
Hili tatizo ninalo miaka zaidi ya 15.Hii hali ilitakaga kunitokea ikatoweka tu yenyewe, unasikia km kuna watu wanapiga ngoma masikioni
Duuh pole ,Nina mtoto wangu nae linamsumbua huu mwaka wa3!Sijui kama Kuna chama!Habari,
Kuna Chama Cha Watu wasiosikia vizuri Tanzania?
Mimi ninashinda ya masikio kupiga kelele kutokana na sikio la ndani kuwa na shida.
Nimehangaika sana mahospitalini lakini shida niliyonayo ni haitibiki (Tinnitus) ni ugonjwa wa kawaida na unawakumba watu wengine Duniani.
Naomba mwenye kujua kuhusu Chama Cha Watu wenye usikivu hafifu anisaidie.
Asante.
Pole Sana Ila Kama unaweza mtafute Dr Issack Maro hasa IG au FB au ofisini kwake atakupa muongozo mzuriHili tatizo ninalo miaka zaidi ya 15.
1) Nimepoteza marafiki kwa kuonekana mzigo (Kunitenga).
2) Chuo nimesoma kwa tabu sana. Nilipata Diploma ya uhasibu na ufaulu wa kuendelea Degree lakini nilishindwa kutokana na ugumu wa kujifunza Chuoni.
INAUMA LAKINI NDIO HALI HALISI NILIYOKUWA NAYO.
Sioni Dalili ya hili tatizo kuisha kama unavyosema ndugu, maana ni miaka zaidi ya 15 ninateseka. Muda wote nasikia masikio yanavuma (Tinnitus).
Nilienda Muhimbili, na Hospitali ya Ekenywa lakini hakuna ufumbuzi nilioupata.
Naomba mwenye kujua kuhusu Chama Cha Watu wenye usikivu hafifu anisaidie.
Asante.
Mimi niko kama yeye iyo ishu haitisaidii zaisi ya kumuongezea makelele shida yake sio kwamba anasikia kwa mbali bali shida ipo kichwani huyu jamaa ukimuongelesha anasikia kabisa ila haelewi utakachoongea hadi akuangalie mdomoniMkuu pole sana,
Kwa tatizo lako,nunua hearing device,hua inavaliwa nyuma ya Sikio,hii device huongeza sauti ya mzungumzaji,so utamsikia vizuri tu,ni kifaa kinachouzwa kwa bei ya kawaida tu kutegemea na aina ya Brand.