Tatizo ni mtu unapobanwa haja kubwa kinaanza kwanza kimaumivu kama kitu kinavuta sehemu ya haja kiasi kwamba mtu unaganda kwanza maana hata kusogeza mguu huwezi mpaka kitakapoachia, ndo uende haja lasivo ukifika msalani huwezi chuchumaa.
Jamani msaada ni tatizo gani au ni ugonjwa gani?
Jamani msaada ni tatizo gani au ni ugonjwa gani?