Msaada: Kuna magari ya moja kwa moja kutoka Dar - Kisumu, Kenya

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,440
Reaction score
1,046
Habari ndugu zangu nauliza gari gani nzuri kutoka dar kwenda kisumu na bei yake au kama mtu anaexperience na safari ya namna hii naomba anielekekeze.
 
Habari ndugu zangu nauliza gari gani nzuri kutoka dar kwenda kisumu na bei yake au kama mtu anaexperience na safari ya namna hii naomba anielekekeze
Hakuna gari ya moja kwa moja mpka kisumu, Zilikuwepo Mwanza lakini siku hizi pia hazipo, Panda gari uende Mwanza kisha uchukue basi Mpaka Sirari, pale Sirari zimejaa tele shuttle za kwenda huko!,au kama unaona vipi panda Mwewe mpaka Nairobi then unganisha ukifika hapo.
 
Hakuna gari ya moja kwa moja mpka kisumu, Zilikuwepo Mwanza lakini sikuhizi pia hazipo, Panda gari uende Mwanza kisha uchukue basi Mpaka Sirari, pale Sirari zimejaa tele shuttle za kwenda huko!,au kama unaona vipi panda Mwewe mpaka Nairobi then unganisha ukifika hapo.
Sawa sawa asante
 
Tahmeed zinaenda Dar - Mombasa, hivyo atazunguka sana bora aelekee uelekeo wa Mwanza na Sirari

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Anaweza panda za Dar Nairobi atafika usiku sana, asubuhi ana anza safari ya Nairobi kisumu...!

Au mpka Arusha, Arusha kuna Noah kibao za namanga, namanga Nairobi una weza tafuta gari yoyote ukaingia Nairobi then unaitafuta kisumu...
 
Kutoka Nairobi to Kisumu ni mbali sana?
 
From Dar to Mwanza then Mwanza to Silali utakua mzunguko sana au hiyo ndio rahisi i have never been there naenda msibani naomba mnielekeze jamani
Kuna magari ya moja kwa moja toka Dar mpaka tarime... nazani itakuwa tahisi kwako...

Sababu kutoka hapo mpaka kisumu haito kuwa mbali kama kutokea Nairobi kwenda kisumu...

Kisumu ni hapo tu mwambao wa ziwa victoria... jina ulilo andika lina sadifu ni majina maeneo hayo...

Au chukua ndinga kalale Dodoma alafu chukua satco kutokea Dodoma mpaka huko tarime
 
Shukrani
 
083BC022-D58D-4417-9D01-16BCC48A25C8.jpeg
 
Dar to Kisumu kupitia Nairobi ni kama kilometa 1200
Dar to Kisumu kupitia Mwanza ni kama kilometa 1300

Ukipita njia ya Nairobi itabidi upande gari za Dar to Nairobi (unafika usiku sana) halafu ulale Nairobi, asubuhi upande gari za kuelekea Kisumu (hakikisha una passport kama huna unakata ya muda).

Ukipita ya Mwanza chukua gari kutoka Dar hadi Tarime, utafika usiku sana utalala Tarime halafu asubuhi na mapema unaenda zako mpakani (km 18 kutoka Tarime) unapata gari za Kisumu na utafika mapema tu. Uzuri wa njia ya hii ni kuwa hata kama huna passport, unavuka mpaka kwa miguu then unaenda kupanda gari. Hakuna usumbufu labda kama unapeleka magendo.

Ningekuwa wewe ningetumia njia ya Mwanza, ooh sorry hapa unaweza usipite Mwanza mjini, gari inaweza kupita njia ya Bariadi, Lamadi. Pia kutafuta guest ya kulala Nchi ya kigeni ni tricky sana ukizingatia usalama Nairobi hasa usiku si mzuri, lakini pia gharama zitakuwa kubwa kwa sababu utalazimika kubadilisha fedha mpakani.
 
Asante sana kwa ufafanuzi nimeelewa
 
Kutoka Nairobi to Kisumu ni mbali sana?
Ni mbali ndio, fuata ushauri wa kwenda hadi Mwanza, nadhani kuna basi linatoka Mwanza kwenda Nairobi, huwa linatoka mwz saa sita mchana
 
Shukrani sana
 
Mwanza to Kisumu ni karibu kilomita 500,nenda kalale Mza huna sababu ya kwenda mpaka tarime,pumzika asubuhi nyanyuka na zacharia ya kwanza saa3 upo sirari then tafuta gari ya kwenda kisuma note kutoka kisumu mpaka sirari ni kama kutoka musoma na Mza,masaa matatu au manne unakua ushafka kisumu,msalimie Odinga na Miguna miguna
 
Shukrani sana nimekuelewa
 
Back
Top Bottom