James_patrick_
Senior Member
- Mar 20, 2017
- 102
- 194
Inabidi ufukuzwe kazi kutoka hapo wizarani, kama hujui hata umhimu kitu mhimu kama cheti cha kuzaliwa, unadhani ni mziki huo kuwa utaupata youtube na tiktok. Yaani nyie vijana wa sasa mmekuwa wapuuzi kupindukia.Habari, nipo Wizara ya Mambo ya Ndani hapa kuna jambo nafatilia wameniomba cheti cha kuzaliwa.
Sina kwa hapa ila wameniomba hata copy tu au picha yake. Je, kwa mwenye kujua kuna tovuti naweza kuingia nikapata au ndio nijiondokee tu kinyonge kabisa?
Kwan ungenijibu kistaharabu ungepungukiwa nn?hasira za mkeo unaleta mtandaoni..jieshimu basiInabidi ufukuzwe kazi kutoka hapo wizarani, kama hujui hata umhimu kitu mhimu kama cheti cha kuzaliwa, unadhani ni mziki huo kuwa utaupata youtube na tiktok. Yaani nyie vijana wa sasa mmekuwa wapuuzi kupindukia.
Utoto mwingi unawezaje kuja online na ukauliza unawezaje pata copy ya cheti cha kuzaliwa mtandaoni? Kama kipo mtandaoni that means wewe ndo umekiweka hivo unajua kiko wapi. Tena unasema wamekwambia piga hata picha utume alafu badala ya kufanyia kazi kile ulichoambiwa unakuja mtandaoni kuuliza kama kuna site unaweza pata copy, how? hivi ninani ana stress hapo? Natamani kuona watu walio serious katika mambo serious. Unashindwa hata kuchukua hatua kusema umpigie mtu simu apige picha na akutumie unakuja mtandaoni kweli??Kwan ungenijibu kistaharabu ungepungukiwa nn?hasira za mkeo unaleta mtandaoni..jieshimu basi
Hasira nyingi utafikiri mtandao ni wa baba ako...nikujuze tu mungu ni mwema..kilichonipeleka pale nimekipata kwa urahisi zaidi..bila ata ya hicho cheti tena nuksi zako zimefeli😂😂Utoto mwingi unawezaje kuja online na ukauliza unwezaje pata copy ya cheti cha kuzaliwa mtandaoni? Kama kipo mtandaoni that means wewe ndo umekiweka hivo unajua kiko wapi. Tena unasema wamekwambia piga hata picha utume alafu badala ya kufanyia kazi kile ulichoambiwa unakuja mtandaoni kuuliza kama kuna site, how hivi ninani ana stress hapo? Natamani kuona watu walio serious katika mambo serious. Unashindwa hata kuchukuwa hatua kusema umpigie mtu simu apige picha na akutumie unakuja mtandaoni kweli??
Ifike mahali watu wawe serious swali lingekuwa namna ya kupata cheti níngekuwa na jibu lakushauri.
Lakini kuuliza eti site gani online naweza kupata copy ya cheti? Tena unasema niko wizara ya mambo ndani bullshit, ndo maana nikasema unapaswa kufukuzwa hata hapo getini. Unless kama ulienda kufanya finger prints. Otherwise huu ni utoto
Hata kama umepata next time tambua kuna vitu ambavyo huwezi kuvipata njiani. Uwezo wako wa kuchanganuwa mambo unaonekana kuwa mdogo fanyia kazi mapungufu yako kama unahitaji kustrive.Hasira nyingi utafikiri mtandao ni wa baba ako...nikujuze tu mungu ni mwema..kilichonipeleka pale nimekipata kwa urahisi zaidi..bila ata ya hicho cheti tena nuksi zako zimefeli😂😂
Kama kuna wahusika wa rita tayali watakuwa wameona kuna haja ya kufanya hvyo.kila kitu kiwepo kwenye website yao kurahisisha mambo.dunia ya leo sio ya kubeba kila kitu.Hata kama umepata next time tambua kuna vitu ambavyo huwezi kuvipata njiani. Uwezo wako wa kuchanganuwa mambo unaonekana kuwa mdogo fanyia kazi mapungufu yako kama unahitaji kustrive.
ukitaka wasikudai cheti ..waambie ww hujazaliwa bali umeshushwa 😂🤣😅😆Habari, nipo Wizara ya Mambo ya Ndani hapa kuna jambo nafatilia wameniomba cheti cha kuzaliwa.
Sina kwa hapa ila wameniomba hata copy tu au picha yake. Je, kwa mwenye kujua kuna tovuti naweza kuingia nikapata au ndio nijiondokee tu kinyonge kabisa?
🤣🤣🤣🤣🤣ukitaka wasikudai cheti ..waambie ww hujazaliwa bali umeshushwa 😂🤣😅😆