Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Eti wakuu, Kuna mtu humu amefanikiwa kupata namba ya NIDA kwa kujiandikisha online tofauti na kwenda kabisa kwenye ofisi zao?
NIDA Tanzania
NIDA Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BIla shaka anamaanisha from zero kabisa,Ndio muhimu majina yako yasiwe tofauti na kwenye fomu yako
Ulijichanganya nini..?Kidogo nijichanganye kwenye inshu kama hii.
Kwa ufupi
Haiwezekani mkuu
Yaaah namaanisha hivyo,,, from zeroBIla shaka anamaanisha from zero kabisa,
yaoani ajiandikishe online
Eti wakuu, Kuna mtu humu amefanikiwa kupata namba ya NIDA kwa kujiandikisha online tofauti na kwenda kabisa kwenye ofisi zao..?
Hivyo haiwezekaniBIla shaka anamaanisha from zero kabisa,
yaani ajiandikishe online
NIDA kama NIDA hawana Hiyo huduma mkuu!Ulijichanganya nini..?