Clark boots JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 6,770 Reaction score 6,202 Oct 19, 2024 #1 Eti wakuu, Kuna mtu humu amefanikiwa kupata namba ya NIDA kwa kujiandikisha online tofauti na kwenda kabisa kwenye ofisi zao? NIDA Tanzania
Eti wakuu, Kuna mtu humu amefanikiwa kupata namba ya NIDA kwa kujiandikisha online tofauti na kwenda kabisa kwenye ofisi zao? NIDA Tanzania
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 24,262 Reaction score 58,728 Oct 19, 2024 #2 Ndio muhimu majina yako yasiwe tofauti na kwenye fomu yako
aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 5,175 Reaction score 16,488 Oct 19, 2024 #3 Kidogo nijichanganye kwenye inshu kama hii. Kwa ufupi Haiwezekani mkuu
aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 5,175 Reaction score 16,488 Oct 19, 2024 #4 Vincenzo Jr said: Ndio muhimu majina yako yasiwe tofauti na kwenye fomu yako Click to expand... BIla shaka anamaanisha from zero kabisa, yaani ajiandikishe online
Vincenzo Jr said: Ndio muhimu majina yako yasiwe tofauti na kwenye fomu yako Click to expand... BIla shaka anamaanisha from zero kabisa, yaani ajiandikishe online
Clark boots JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 6,770 Reaction score 6,202 Oct 19, 2024 Thread starter #5 aise said: Kidogo nijichanganye kwenye inshu kama hii. Kwa ufupi Haiwezekani mkuu Click to expand... Ulijichanganya nini..?
aise said: Kidogo nijichanganye kwenye inshu kama hii. Kwa ufupi Haiwezekani mkuu Click to expand... Ulijichanganya nini..?
Clark boots JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 6,770 Reaction score 6,202 Oct 19, 2024 Thread starter #6 aise said: BIla shaka anamaanisha from zero kabisa, yaoani ajiandikishe online Click to expand... Yaaah namaanisha hivyo,,, from zero
aise said: BIla shaka anamaanisha from zero kabisa, yaoani ajiandikishe online Click to expand... Yaaah namaanisha hivyo,,, from zero
Utajua wewe JF-Expert Member Joined Feb 20, 2024 Posts 928 Reaction score 1,836 Oct 19, 2024 #7 Nida hawa hawa mkuu embu wahi foleni Clark boots said: Eti wakuu, Kuna mtu humu amefanikiwa kupata namba ya NIDA kwa kujiandikisha online tofauti na kwenda kabisa kwenye ofisi zao..? Click to expand...
Nida hawa hawa mkuu embu wahi foleni Clark boots said: Eti wakuu, Kuna mtu humu amefanikiwa kupata namba ya NIDA kwa kujiandikisha online tofauti na kwenda kabisa kwenye ofisi zao..? Click to expand...
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 24,262 Reaction score 58,728 Oct 19, 2024 #8 aise said: BIla shaka anamaanisha from zero kabisa, yaani ajiandikishe online Click to expand... Hivyo haiwezekani
aise said: BIla shaka anamaanisha from zero kabisa, yaani ajiandikishe online Click to expand... Hivyo haiwezekani
aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 5,175 Reaction score 16,488 Oct 19, 2024 #9 Clark boots said: Ulijichanganya nini..? Click to expand... NIDA kama NIDA hawana Hiyo huduma mkuu! Kuwa makini na matapeli.
Clark boots said: Ulijichanganya nini..? Click to expand... NIDA kama NIDA hawana Hiyo huduma mkuu! Kuwa makini na matapeli.