Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,368
- 1,325
Wakuu niko dodoma mjini hapa mitaa ya changombe kuna kijana anapita akichangisha fedha za kujenga ofisi ya serikali za mitaa anataka buku kila frame za kubeba matofali naomba kujuzwa nikimtimua kisheria ni kosa au maana buku ni ndogo ila hii serikali imeshatuona wananchi wake ni nyumbu kuna mlolongo wa kodi kibao wakidai ni za maendeleo iweje leo kodi nalipa na bado nichangie maendeleo tena ni hapa jijini dodoma