Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,368
- 1,325
nipe muongozo mkuu kuna ulazima wa kutoa au akija nifukuzeTaifa la ombaomba.
nipe muongozo mkuu kuna ulazima wa kutoa au akija nifukuze
Hakuna sheria kimsingi inayokualazimisha uchangie labda kama kuna by laws imepitishwa serikali za mitaa.nipe muongozo mkuu kuna ulazima wa kutoa au akija nifukuze
kwani mkuu hizi tozo ni za nini mpaka nichangie buku ya kubeba tofali kwani mkandarasi hakujua tofali ziko mbali na site akaorodhesha mahitajiHakuna sheria kimsingi inayokualazimisha uchangie labda kama kuna by laws imepitishwa serikali za mitaa.
Lakini Wewe unaonaje? Hiyo ofisi ikiwepo ni msaada kwenu au la?
Halafu buku tu ndio uanzishe mjadala kweli? Changia mandeleo hayo
kwani pia si wanalipisha huduma ni bure kwani mihuri kila kitu si nalipiaUsichangie
Ila siku ukiwa na shida na ofis ya serikali ya mtaa utaisoma namba
mimi sichangii serikali buku ni ndogo ila watanitoa nayo nyongoWizi huo mkuu kuweni makini
Acha kumtia ujinga, kachangie wewe.Hakuna sheria kimsingi inayokualazimisha uchangie labda kama kuna by laws imepitishwa serikali za mitaa.
Lakini Wewe unaonaje? Hiyo ofisi ikiwepo ni msaada kwenu au la?
Halafu buku tu ndio uanzishe mjadala kweli? Changia mandeleo hayo