msaada kunenepa

msaada kunenepa

naa

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
791
Reaction score
1,074
Za sa hizi jamani,Mwenzenu nna shida naomba msaada kidogo,ivi kitu gani kitanifanya nirudishe mwili kwa haraka maana hali mbaya nimepukutika ad balaa naombeni msaada wenu kimawazo nifanyeje niweze kurudsha mwili ka zamani! Asanteni
 
mtori kwa wingi changanya na mafuta ya ng'ombe wiki tu mlangoni utakuwa huwezi kupita
 
asante mwaya

Punguza mawazo yaani relaaaaaaaaaaaax upe mwili nafasi raha jipe mwenyewe usisubiri kupewa, usitamani vitu ambavyo huna uwezo navyo, acha roho mbaya wenye roho mbaya wote wakaaaaaaaaaavu kama dagaa walokaushwa uwe na moyo safey. Ukiweza hayo ugali na matembele, nyanya chungu au mlenda baaaasi utakua kipipa weye mpaka watu wakukimbie.
 
will try this
 
kula vzur ucpende kuwa na mawazo yacyo na mpango ,zngatia mlo kamili... na fanya mazoez ya mwl k'aina napenda kurelax......
 
Kwanini unaupenda unene? sisi waafrika tu mtazamo mmbaya sana kuhusu mwili. Ukiona watu huko mbele wanavyostruggle kuukimbia unene kwa mazoezi wala hutoutamani asee. Kama umepuputika, ningeshauri kwanza ujue sababu ya kukupukitisha. Jenga mwili uwe wa afya kimazoezi na sio kwa hiyo mivyakula ya mafuta na carbohaydrate nyingi, tofauti na hapo unaiita presha na kisukari kwa haraka.
 
Punguza mawazo yaani relaaaaaaaaaaaax upe mwili nafasi raha jipe mwenyewe usisubiri kupewa, usitamani vitu ambavyo huna uwezo navyo, acha roho mbaya wenye roho mbaya wote wakaaaaaaaaaavu kama dagaa walokaushwa uwe na moyo safey. Ukiweza hayo ugali na matembele, nyanya chungu au mlenda baaaasi utakua kipipa weye mpaka watu wakukimbie.

Heheheh kwa hiyo jaji warioba na makamba jr wana roho mbaya?
 
Back
Top Bottom