Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,512
- 6,882
Wakubwa mwenye uwezo wa kuninunulia bitcoin za thamani ya $50 mtandaoni naomba anicheck pm tafadhari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mura Marwa ACHANA na hiyo kitu kabisa, ni utapeli wa kutupwaJamani msaada tafadhari wakubwa
Mkuu ninahitaji hizi coin kidogo kuna kihuduma nataka kukilipia anonymously na wanakubali bitcoin na litecoin halafu mimi sio mgeni kivile kwenye hizo issue maana kitu muhimu kwenye cryptocurrencie ni private keyMura Marwa ACHANA na hiyo kitu kabisa, ni utapeli wa kutupwa
hapo $50 ni kama 116,000.00
zipo nyuzi humu kibao zinavyoelezea watu wanapigwa na hizo Electronic money
km D9, ONTARIO, tumepigwa sana ni bora ucheze Kamari ukisubiria majibu hapohapo
mm niliamonishwa na wafanyakazi wa Benki tukacheza lkn Daniello akatupiga Nchi kibao
na niliyempa hela mpaka sasa tunpishana tu, sasa wewe una roho hiyo?
kumbe unataka kwa kubadilishana $50 kwa bitcoinMkuu ninahitaji hizi coin kidogo kuna kihuduma nataka kukilipia anonymously na wanakubali bitcoin na litecoin halafu mimi sio mgeni kivile kwenye hizo issue maana kitu muhimu kwenye cryptocurrencie ni private key
Bitcoin moja inauzwa 11mil hizo hela zako kanywer bia mkuuWakubwa mwenye uwezo wa kuninunulia bitcoin za thamani ya $50 mtandaoni naomba anicheck pm tafadhari
Hujui unachozungumza sio lazima kununua 1BTC,kwa taarifa fupi bitcoin moja sio mil 11 bali ni zaidi ya mil 20Bitcoin moja inauzwa 11mil hizo hela zako kanywer bia mkuu
Ungekuwa millionaire sahv pambafu kabisaaTena kimbe nina mwaka sijachingulia imefikia milion21. Najita kizaliwa, ishu ya bitcoin nliishtukia mapemaaaaa2009 akati nimeanza kazi nikataka nikope 3mil ninunue bitcoin. Wakati huo inauzwa elf2 za madafu kama sikoseiView attachment 1253072
Acha ufisadi mkuu.. kama hujui kitu kaa kimya... Pambafu kabisaaMura Marwa ACHANA na hiyo kitu kabisa, ni utapeli wa kutupwa
hapo $50 ni kama 116,000.00
zipo nyuzi humu kibao zinavyoelezea watu wanapigwa na hizo Electronic money
km D9, ONTARIO, tumepigwa sana ni bora ucheze Kamari ukisubiria majibu hapohapo
mm niliamonishwa na wafanyakazi wa Benki tukacheza lkn Daniello akatupiga Nchi kibao
na niliyempa hela mpaka sasa tunpishana tu, sasa wewe una roho hiyo?
Tena kimbe nina mwaka sijachingulia imefikia milion21. Najita kizaliwa, ishu ya bitcoin nliishtukia mapemaaaaa2009 akati nimeanza kazi nikataka nikope 3mil ninunue bitcoin. Wakati huo inauzwa elf2 za madafu kama sikoseiView attachment 1253072
watu bado wabishi Pyramid wanaokula ni 1%post: 25425847 said:Kuna jamaa angu alikua ananishawishi, mara anitumie video ya waliojiunga wanakula bata, mara snapshot ya pesa alizopata, ili mradi fujo tu! Sa iv akipita kama ananipotezea ivi! Kuumbe! Ila maisha lazima yaendelee, waliokosa wameshajifunza kitu katika investment! Ila dah! Dola 2100 ni nyingi wazee
ka.a sijaelewa hivi. Au ndio sio kila kitu lazima nielewe.Tena kimbe nina mwaka sijachingulia imefikia milion21. Najita kizaliwa, ishu ya bitcoin nliishtukia mapemaaaaa2009 akati nimeanza kazi nikataka nikope 3mil ninunue bitcoin. Wakati huo inauzwa elf2 za madafu kama sikoseiView attachment 1253072
Halafu cha ajabu imetengenezwa na mtu asiyejulikana ila mifumo yake hata CIA wameshindwa kudukuaka.a sijaelewa hivi. Au ndio sio kila kitu lazima nielewe.
Yaani nilikuwa najua bitcoin ni sarafu kama sarafu zingine tu. Labda bitcoin moja yaweza kuwa 2500 za madafu. 😳😳Mil25+
Fanya uchunguzi kabla ya kununua! La sivyo utajuta!Wakubwa mwenye uwezo wa kuninunulia bitcoin za thamani ya $50 mtandaoni naomba anicheck pm tafadhari
BORA WAAMBIENI JAMANI MPAKA LINK NA USHUHUDA TUNAWAPA HAWASIKIIFanya uchunguzi kabla ya kununua! La sivyo utajuta!
Tena kimbe nina mwaka sijachingulia imefikia milion21. Najita kizaliwa, ishu ya bitcoin nliishtukia mapemaaaaa2009 akati nimeanza kazi nikataka nikope 3mil ninunue bitcoin. Wakati huo inauzwa elf2 za madafu kama sikoseiView attachment 1253072
Baada ya uteuzi wa waziri mpya wizara ya VB imeanzisha utaratibu wa kuanzishwa Kwa Wakala wa Shopping Malls Tanzania na Kwa kuwa nchi iliyopata maendeleo fedha haina samani haya Ndiyo makujuku ya wakala huo:Wakubwa mwenye uwezo wa kuninunulia bitcoin za thamani ya $50 mtandaoni naomba anicheck pm tafadhari