Msaada kunusuru suala hili


jamaa anavyodai yeye suala la ulevi kipindi hicho halikuwa la kipaumbele yeye akipata weekend anatoka na wife kama kawaida na sometime wife akiwa anatoka kazini atamwambia wajkutane wapi walau wapate moja ... but nowdays mwanamke hawezi kumwalika mwanaume naamini anaona ni mzigo au kwa vile hana ya kulipia bili
 

kwa kweli hili suala nimejaribu kumuuliza jamaa alinieleza kwamba mama anaweza kurudi yuko pombe akilala hata mtoto alie usiku jamaa inabidi ahudumie kwa kuwa ni damu yake mama anaweza kuamka asubuhi asielewe hata mtoto kama aliamka usiku au alihitaji huduma usiku ya maziwa
 

jamaa anadai si mara moja au mbili alishakuta msg kutoka kwa wanaume kuhusiana na mialiko ya kwenda kunywa na hasa kuna moja anaelekezwa yule mwanamke aende guest moja hapo kkoo mtaa wa kongo na yeye anasema yupo chini restaurant anaogopa kupandisha ngazi kwa ajili ya giza
 
Naunga mkono hoja. Hapa kuna kila dalili kuwa ndoa haiku base kwenye love haiwezekani ndani ya kipindi kifupi hicho pendo likachuja; HALIKUWEPO KABISA. Tatizo kaka zangu mnaoa material girls! Sasa material yakiisha unakuwa ni mzigo kweli kweli kwa mamaa.


 
Another picture that I get ni kuwa huyu mwanamke atakuwa soo attractive maana ana mtoto wa miezi mitano afu bado anawapanga majamaa. Wanawake wazuri wanataka fweza!

Hapo hamna suluhu ni talaka tu. Akipata kazi atafute mke si kuparamia mabinti tu mtaani. Na walikuwa hawana dini mpaka aoe kimila? Au alipromote nyumba ndogo na sasa anaiita wife?



 

yeah inawezekana kabisa
 

mkuu hapo nilipopigia mstari hayuko kwa kiasi hicho si unajua sie wanaume tunafuata miteremko???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…