Msaada:kuokoa data zangu kwenye hard drive

Msaada:kuokoa data zangu kwenye hard drive

Afisa Mteule Drj 2

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
3,865
Reaction score
4,506
Kwenye hard disk ya computer yangu kuna partition ina 197 GB ina files zangu nyingi sana.Nilikuwa najaribu kufanya installation ya Windows 10 kwenye partion nyingine ya hard disk hiyohiyo yenye takriban 50 GB sasa kilichokuja kutokea hii partition ya 197 GB inasomwa kama unallocated space hivyo siwezi kuiaccess nikicreate partion kwenye hii unallocated space data zangu zote zitakuwa zimeenda na maji.Nahitaji kufahamu ni software gani naweza kuitumia kuaccess hiyo partition na kubackup data zangu
 
Back
Top Bottom