Msaada kuona selection za vyuo

Msaada kuona selection za vyuo

msugupendigwite

Senior Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
137
Reaction score
26
Wanajamvi nisaidiani nina ndugu zangu waliomba vyuo lakin tunashindwa kuona hizo selection tcu wala kwny web za vyuo walivyoomba. MSAADA KWA HILI WAJAMENI
 
Ndugu Tunasubiri official taarifa kutoka tcu,au jaribu *150*44# Airtel
 
Ndugu Tunasubiri official taarifa kutoka tcu,au jaribu *150*44# Airtel

presha inapanda! presha inashuka! Jamani watoe tu hiyo official announcement maana watu wameshavurugwa huku mitaani
 
Back
Top Bottom