M msugupendigwite Senior Member Joined Dec 20, 2012 Posts 137 Reaction score 26 Aug 18, 2013 #1 Wanajamvi nisaidiani nina ndugu zangu waliomba vyuo lakin tunashindwa kuona hizo selection tcu wala kwny web za vyuo walivyoomba. MSAADA KWA HILI WAJAMENI
Wanajamvi nisaidiani nina ndugu zangu waliomba vyuo lakin tunashindwa kuona hizo selection tcu wala kwny web za vyuo walivyoomba. MSAADA KWA HILI WAJAMENI
Bw.Daffa JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 420 Reaction score 116 Aug 18, 2013 #2 Ndugu Tunasubiri official taarifa kutoka tcu,au jaribu *150*44# Airtel
B Barhearty JF-Expert Member Joined Jun 18, 2013 Posts 319 Reaction score 29 Aug 18, 2013 #3 kwa wale walioapply kuptia nacte wanayapata vp
Goodvision JF-Expert Member Joined Apr 4, 2012 Posts 858 Reaction score 467 Aug 18, 2013 #4 Bw.Daffa said: Ndugu Tunasubiri official taarifa kutoka tcu,au jaribu *150*44# Airtel Click to expand... presha inapanda! presha inashuka! Jamani watoe tu hiyo official announcement maana watu wameshavurugwa huku mitaani
Bw.Daffa said: Ndugu Tunasubiri official taarifa kutoka tcu,au jaribu *150*44# Airtel Click to expand... presha inapanda! presha inashuka! Jamani watoe tu hiyo official announcement maana watu wameshavurugwa huku mitaani