Msaada kuondoa Flyme Account kwenye simu ya Meizu

Msaada kuondoa Flyme Account kwenye simu ya Meizu

sonofsun

Member
Joined
Mar 30, 2018
Posts
21
Reaction score
19
Habari za jioni wajameni,
Naomba kujua kama kuna uwezekano wa kuondoa Flyme old account kwenye simu za Meizu.

Simu ni used imenunuliwa online ila inaakaunti ya Flyme, meanwhile siwezi download Apps zozote mpaka niwe na password za old akaunti.

Tumejaribu kuwasiliana na muuzaji haikusaidia.
Kuna any possible solutions ya hili ??
 
Back
Top Bottom