hahahahahahahhahahahaha noma sanaHicho ni kisonono sugu cha punda
Wahi hospitali haraka sana kabla mambo hayajazidi kuharibikaWakuu nimepata mapele makubwa kwenye uume na mapaja na eneo la mavuzi jamani kwa mtu anaye jua dawa ya kuondoa naomba tu aniambie nimetumia dawa bado hali ni tete
hehehehehUnaona aibu kwenda hospitali? Wacha hiyo paipu itobobe ikakatwe ubaki na kovu...halafu pambaff kwani mtaani kwenu kondom hazipatikani?
Wahi hospMhhhhhh duuu kwaiyo ndio basi tena
Hicho ni kisonono kinapatikana sana umasaini cha punda yani balaaahahahahahahahhahahahaha noma sana