Uko Tanzania mjini ama kijijini maana nasikia Dar anga imetoboka..na kwa kamvua haka mwaka ujao Makonda atawaita wengi pale ilala! Wewe huna gome hapo?
Wakuu nimepata mapele makubwa kwenye uume na mapaja na eneo la mavuzi jamani kwa mtu anaye jua dawa ya kuondoa naomba tu aniambie nimetumia dawa bado hali ni tete