google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
Jamani wadau nina ndugu yangu anauoga ulipitiliza, ni kijana ambae naona akiendelea hivi kwa miaka hii anaweza akaliwa 0713 kabisa kwan hajiamini kabisa anaweza hata akakusalia hata mara tano kwa masaa kidogo. Ukimleta kwa wadada ndo majanga hata kuwakaribia jasho, ukija kwenye presentation huko chuo ndo balaa sasa wadau namna ya kumsaidia tafadhali....