Msaada: Kuongeza virutubisho kwenye bidhaa ya chakula unga

Msaada: Kuongeza virutubisho kwenye bidhaa ya chakula unga

karv

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2019
Posts
1,802
Reaction score
3,253
Habarini zenu wapendwa

Naomba kupewa msaada na maelezo katika baadhi ya mambo nitakayo yaainisha hapo chini.

Kwanza kabisa mimi ni kijana mtafutaji kama wengi wetu tulivyo nilipoenda kijijini nikaamua kuwekeza kwenye kilimo cha mahindi kwa kulima mimi binafsi pia kununua kutoka kwa baadhi ya wakulima.

Lakini nataka kujikita katika swala zima la kuuza unga wa mahindi, mtama, muhogo na unga wa lishe bila kusahau mchele.

Katika swala zima la mashine, mizani, vifungashio na mahitaji mengine yote nishakamilisha kila kitu lakini swala moja ndio linalonitatiza.

Kuhusu masoko changamoto za Biashara yenyewe na mengine yote nimefatilia na kila kitu kipo sawa.

Swala linalonitatiza ni kutaka kuongeza virutubisho kwenye bidhaa nitakayo zalisha.
 

Attachments

  • PHC-Refugees-2.jpg
    PHC-Refugees-2.jpg
    45.8 KB · Views: 34
Sina uzoefu na kuongeza virutubisho , ila nataka unipe process ya kutengeneza unga wa muhogo, soko likiwa kubwa bila shaka tutakuwa pamoja
 
Sina uzoefu na kuongeza virutubisho , ila nataka unipe process ya kutengeneza unga wa muhogo, soko likiwa kubwa bila shaka tutakuwa pamoja
Njoo pm
 
Back
Top Bottom