Msaada:kupata Cheti Cha ustawi wa jamii

Msaada:kupata Cheti Cha ustawi wa jamii

Ester505

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2020
Posts
793
Reaction score
1,049
Jamani kwa wale wazoefu,je mwalimu mwenye degree ya elimu anaweza kupata cheti Cha ustawi wa jamii ili afundishe shule yake ya chekechea??
Maana wakaguzi huwa wanavihitaji wakati wa ukaguzi.
Je afate taratibu zipi ili apate hicho cheti.
 
Back
Top Bottom