Ester505 JF-Expert Member Joined Jul 14, 2020 Posts 793 Reaction score 1,049 Jul 12, 2023 #1 Jamani kwa wale wazoefu,je mwalimu mwenye degree ya elimu anaweza kupata cheti Cha ustawi wa jamii ili afundishe shule yake ya chekechea?? Maana wakaguzi huwa wanavihitaji wakati wa ukaguzi. Je afate taratibu zipi ili apate hicho cheti.
Jamani kwa wale wazoefu,je mwalimu mwenye degree ya elimu anaweza kupata cheti Cha ustawi wa jamii ili afundishe shule yake ya chekechea?? Maana wakaguzi huwa wanavihitaji wakati wa ukaguzi. Je afate taratibu zipi ili apate hicho cheti.