L LIBRARY JF-Expert Member Joined Aug 28, 2012 Posts 231 Reaction score 238 May 5, 2013 #1 Kama niivyokuja mwanzoni wadau wangu wa JF, naomba msaada wa urahisi jinsi ya upata friji ya vinywaji aina ya pepsi na coca. NB eneo la biashara ninalo na linafanya kazi kwa kutumia friji yangu binafsi. Shukrani.
Kama niivyokuja mwanzoni wadau wangu wa JF, naomba msaada wa urahisi jinsi ya upata friji ya vinywaji aina ya pepsi na coca. NB eneo la biashara ninalo na linafanya kazi kwa kutumia friji yangu binafsi. Shukrani.
mito JF-Expert Member Joined Jun 20, 2011 Posts 10,682 Reaction score 10,801 May 5, 2013 #2 nenda depot ya pepsi/coca iliyokaribu na wewe watakupa, ila ujishike manake zinakula umeme ile mbaya, watu siku hizi hawazipendi kivile
nenda depot ya pepsi/coca iliyokaribu na wewe watakupa, ila ujishike manake zinakula umeme ile mbaya, watu siku hizi hawazipendi kivile