Msaada: Kupata Funguo nyingine ya Gari

BwanaX

Senior Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
123
Reaction score
46
Hi guys,

Naomba msaada, juzi nikiwa natembea kwa miguu maeneo ya Mwenge Sokoni nimedonndosha funguo ya Gari pamoja na ya ofisi. Mvua ilikuwa inanyesha sana. Je, kuna mtu anayeweza nisaidia namna yakupata funguo nyingine? Sina kopi yoyote ndani ni toyota IST.

Asanteni
 
milango nililok ila haina alarm
 
Nenda hapo Sinza makaburini kuna mafundi watakutengenezea ndani ya dakika 2!!kuna magari ambayo funguo ikipotea ni balaa inaweza kukugharimu milioni lkn IST ni rahisi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…