sasa mm tayar nina nida kwa majina mengneKama upo Dar nenda kasajiri majina yako pale jengo baada ya mahakama kuu, ili majina yako mapya ndio yatambulike na utaomba kitambulisho kipya cha Nida.
Mwigulu Nchemba naye alikuwa na shida ya majina ametumia njia hiyo.
Unaelewa kiswahili lakini?sasa mm tayar nina nida kwa majina mengne
Utaratibu ni huu utaandaliwa deed poll zinakuwa copy 3Habar viongozi,
Msaada tafadhari mimi nililelewa na baba wa kambo na nikatumia majina yake kupata nida baadae
Baada kupata taarifa ya baba angu mzazi ikanibidi nitumie majina yake sasa nilisoma mpaka kidato cha nne.
Shida yangu ni kutaka kujua nitumie njia gani kubadilisha kutoka majina ya zaman katika nida na kutumia majina ambayo natumia sasa hivi msaada jaman nipo njia panda.