Msaada: Kupata nakala ya Kitambulisho cha NIDA

Msaada: Kupata nakala ya Kitambulisho cha NIDA

Tumia namba, inakubalika sehemu yoyote. Hiyo nakala ukaifanyie nini?
Ukweli kabsaa. Ila kuna baadhi ya taasisi wa ukritiba wa kizamanj. Wanataka uhambatanishe na nakala halisi ya hicho cheti. Tatizo liko kwa watunga kanuni kwenye taasisi zetu wanaofanya kazi kama wajima
 
Toa hela upewe Kitambulisho, vitambulisho havitolewi tu saivi wanasingizia material hamna wakati wapo watu nawajua walikua hawana hata namba leo wana vitambulisho ila tu kisa status za familia yao ni tofauti na sisi,nikaelewa.
 
HUDUMA ZINAZOPATIKANA

[emoji736] NIDA ONLINE COPY

[emoji736] EDITING YA VYETI

[emoji736] LIPA KWA AIRTEL

[emoji736] LIPA KWA VODA

[emoji736] UWAKALA AIRTEL

[emoji736] PROOF OF ADRESS

[emoji736]AFFIDAVITY OF RESIDENCE

[emoji736]UTILITY BILLS

[emoji736]BANK STATEMENTS

[emoji736] TIN NUMBER


[emoji736] LESENI YA UDEREVA


[emoji736]MALIPO NI BAADA YA KAZI
 
HUDUMA ZINAZOPATIKANA

[emoji736] NIDA ONLINE COPY

[emoji736] EDITING YA VYETI

[emoji736] LIPA KWA AIRTEL

[emoji736] LIPA KWA VODA

[emoji736] UWAKALA AIRTEL

[emoji736] PROOF OF ADRESS

[emoji736]AFFIDAVITY OF RESIDENCE

[emoji736]UTILITY BILLS

[emoji736]BANK STATEMENTS

[emoji736] TIN NUMBER


[emoji736] LESENI YA UDEREVA


[emoji736]MALIPO NI BAADA YA KAZI
Anapatikana telegram
 
Habari wadau,

Najua huku kuna wataalamu wengi, naomben msaada kujua ni jinsi gani ya kupata nakala ID ya kitambulisho changu cha NIDA.
Walisha uondoa huo mfumo muda mrefu. Matapeli walikuwa wanautumia kuwapiga watu. Hivyo NIDA waliutoa.
 
Wengine vyetu vinakaribia kuisha muda wake, wengine hata kupata hawajapata.

Bongolala, bongohovyo
Sasa hivi wametoa nakala ambazo hazina expiry date.

Nadhani hata nyie mliopata mwanzo vyenye expiry date vitaendelea kutumika kutumika tu unlimited.
 
Back
Top Bottom