Prince mrema
Member
- Oct 11, 2017
- 61
- 72
Waliniambia badoNenda ulipojiandikisha
Ukweli kabsaa. Ila kuna baadhi ya taasisi wa ukritiba wa kizamanj. Wanataka uhambatanishe na nakala halisi ya hicho cheti. Tatizo liko kwa watunga kanuni kwenye taasisi zetu wanaofanya kazi kama wajimaTumia namba, inakubalika sehemu yoyote. Hiyo nakala ukaifanyie nini?
Nbna madogo kwenye interview za portal namba inakataliwa?Tumia namba, inakubalika sehemu yoyote. Hiyo nakala ukaifanyie nini?
Anapatikana telegramHUDUMA ZINAZOPATIKANA
[emoji736] NIDA ONLINE COPY
[emoji736] EDITING YA VYETI
[emoji736] LIPA KWA AIRTEL
[emoji736] LIPA KWA VODA
[emoji736] UWAKALA AIRTEL
[emoji736] PROOF OF ADRESS
[emoji736]AFFIDAVITY OF RESIDENCE
[emoji736]UTILITY BILLS
[emoji736]BANK STATEMENTS
[emoji736] TIN NUMBER
[emoji736] LESENI YA UDEREVA
[emoji736]MALIPO NI BAADA YA KAZI
nikajua wewe mtoto mzuriii,kumbe mtu mwingineeeš«£Anapatikana telegram
Walisha uondoa huo mfumo muda mrefu. Matapeli walikuwa wanautumia kuwapiga watu. Hivyo NIDA waliutoa.Habari wadau,
Najua huku kuna wataalamu wengi, naomben msaada kujua ni jinsi gani ya kupata nakala ID ya kitambulisho changu cha NIDA.
Now ni timeless, havina muda mkuu.Wengine vyetu vinakaribia kuisha muda wake, wengine hata kupata hawajapata.
Bongolala, bongohovyo
Huu muda wa expiry hautumiki au mpaka nikarenew ndio utaanza kutumikaNow ni timeless, havina muda mkuu.
Siku hizi unatumia tu mkuu hata kama muda umeisha, wameondoa hiyokanuni muda tu.Huu muda wa expiry hautumiki au mpaka nikarenew ndio utaanza kutumika
Sasa hivi wametoa nakala ambazo hazina expiry date.Wengine vyetu vinakaribia kuisha muda wake, wengine hata kupata hawajapata.
Bongolala, bongohovyo