dawa hii hapa, kula kitunguu swaumu punje tano kila siku asubuhi,
kula punje 4 za mlonge daily na unga wa majani yake weka hata kwa supu ya samaki au uji, (hapa unawezakuhara kiasi, nikawaida)
kila baada ya tendo lamba asali safi original. pia pendelea kutumia asali kwenye mambo yako mengi.
matunda kwa wingi na juice za asili,
punguza prodect za kiwandani kwa asilimia kubwa tuu hasa vinywaji vya soda ikiwezekana punguza pombe na sigara acha kabisaa kama mtumiaji.
hivo vyooote vikishindwa tafuta unga wa mti unaitwa mdinda dinda , weka katika chai , tumia asubuhi na jioni.
Angalizo{ hivo vitu sio vya kutumia wiki moja halafu utake matokeo la hasha tumia kwa mda mrefu iwezekanavyo, na maybe ua life time, maana inatibu na mengineyo.
ukifanikiwa please usinisahau. katika ufalme wako