Wadau nilitaka kufahamu kuhusu sheria ya michango ya uanachama wa PSSSF.. kuna ndugu yangu alikua anafanya kazi katika sekta ya umma.
Bahati mbaya akapata majanga akafukuzwa kazi. Je, anaweza kulipwa zile stahiki zake ambazo alikua anakatwa kila mwisho wa mwezi kwa maana ya michango ya uanachama ya PSSSF.