Unapata faida gani kukatisha tamaa watu mkuu,vipi fao la kukosa kazi au hufahamu hill??Ukisikia umefukuzwa kazi serikalini kwa Sasa sahau KUHUSU mafao yako..
Jamaa wamekuja na visheria vyao vina roho mbaya utafikiri wao wataishi milele
Una uhakika?Ukisikia umefukuzwa kazi serikalini kwa Sasa sahau KUHUSU mafao yako..
Jamaa wamekuja na visheria vyao vina roho mbaya utafikiri wao wataishi milele
Ukifukuzwa kazi au ukiachishwa unapewa mafao yako yote ila ukiaccha kazi mwenyewe unasubiri mpaka ufikie 55 yrs ndio uchukuewadau nilitaka kufaham kuhusu sheria ya michango ya uanachama wa PSPF..kuna ndugu yangu alikua anafanya kazi katika sekta ya umma.Bahat mbaya akapata majanga akafukuzwa kazi,,,je anaweza kulipwa zile stahiki zake ambazo alikua anakatwa kila mwisho wa mwezi kwa maana ya michango ya uanachama ya PSPF
Hilo ndio wameliwekea masharti mengi sana mkuu, lakini lengo ni moja mpaka ufike 55yrs ndio upewe mzigo wako.Unapata faida gani kukatisha tamaa watu mkuu,vipi fao la kukosa kazi au hufahamu hill??
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Mkuu, Achana na story za kisiasa Ukifukuzwa huna chako PSSSFUkifukuzwa kazi au ukiachishwa unapewa mafao yako yote ila ukiaccha kazi mwenyewe unasubiri mpaka ufikie 55 yrs ndio uchukue
Sio kweliMkuu, Achana na story za kisiasa Ukifukuzwa huna chako PSSSF
Sio kweli