Msaada kupata wanunuzi na wauzaji mazao

Kupyatila

Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
19
Reaction score
3
Naomba msaada kwa mtu yeyote anayefahamu link/website inayowaunganisha wanunuzi na wauzaji wa mazao ya kilimo duniani. Nawasilisha.
 
Unapatikana wapi?
Unataka mazao gani?
Nipo Dar, kifupi nahitaji mazao ya aina tofauti kununua/kuuza DUNIANI. Niliambiwa kuna link inayowaunganiasha watu wa aina hiyo japo aliyeniambia aliisahau.
 
Nipo Dar, kifupi nahitaji mazao ya aina tofauti kununua/kuuza DUNIANI. Niliambiwa kuna link inayowaunganiasha watu wa aina hiyo japo aliyeniambia aliisahau.
Ninayo.com kwa tz, Hiyo ya duniani labda mpaka uongee na trump
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…