Msaada kupeleka rufaa kwa Rais

Msaada kupeleka rufaa kwa Rais

Kambale1

New Member
Joined
Jul 9, 2023
Posts
4
Reaction score
7
Habari,

Naomba msaada/Muongozo jinsi ya kufikisha rufaa kwa Rais.

Nilipeleka rufaa tume ya utumishi wakaikataa, zaidi nimeongezewa kosa ambalo silitambui.

Na Mwajiri hakufuata kanuni za Utumishi, niliweka hayo malalamiko kwenye rufaa ya mwanzo ila hawajajibu wameconclude kuwa adhabu niliyopewa ni sawa.

Naomba kujua rufaa kwa Rais inabidi niende Ikulu au natumia njia gani.
 
Mkuu jieleze vzr hatua kwa hatua ili watu tujue ipi ni ipi
 
Back
Top Bottom