Msaada: Kupiga shuti la Mzungusho kwenye PS3

Msaada: Kupiga shuti la Mzungusho kwenye PS3

Hoody2

Member
Joined
May 10, 2024
Posts
38
Reaction score
42
Kwa anayefahamu namna ya kupiga shuti la Mzungusho kwenye ps3 PES tafadhali nielelekeze maujuzi.
 
Kwa anayefahamu namna ya kupiga shuti la Mzungusho kwenye ps3 PES tafadhali nielelekeze maujuzi.
Puumbafu dume zima unacheza game? Huna tofauti na wale wanaocheza ma bonanza ya kichina au wanarusha vindege. Unajitengenezea kaburi la umaskini
 
Puumbafu dume zima unacheza game? Huna tofauti na wale wanaocheza ma bonanza ya kichina au wanarusha vindege. Unajitengenezea kaburi la umaskini
umaskini unakusumbua kijana ukipata utaachana na burudan za watu,https://jamii.app/JFUserGuide
 
Acha utoto tafuta pesa, shuti mzungusho litakusaidia nini katika maisha yako?
Alichoongea mleta mada hili ndio jukwaa lake. Masuala ya kutafuta hela yapo kule jukwaa la uchumi na biashara, hata ivyo wewe umejuaje kama hatafuti hela labda ana ofisi ya kuchezesha play station anaomba msaada ili ahudumie wateja kwa ufanisi si ndo anatafuta hela hapo au wewe umekalili kutafuta hela ni kufanya kazi ngumu ngumu tu kama kulima na kubeba zege
 
Kwa anayefahamu namna ya kupiga shuti la Mzungusho kwenye ps3 PES tafadhali nielelekeze maujuzi.
Ingia youtube, ila muda huo wa kucheza game unaonaje ukautumia kumuabudu Muumba?
 
Back
Top Bottom