Msaada: Kupunguza nguvu za kiume

Mkuu utanipa idadi ya pm ulizopata kutoka kwa wadada wa jamii forum maana wanapenda sana bundesliga.. Akiwemo Miss Natafuta.
 
Punguza Sexual Desire yako uki sha sex 4 times pumzika watakukimbia kila siku Ngono inaboa ila Pesa hazichoshi
 
Una pepo la ngono. Tembelea kanisa au msikiti ulio Katibu na wewe unahitaji maombezi.
 
Duh tuko wengi sana!
kama mimi[emoji23][emoji23][emoji23]
Tena mm wanalalamika sana duh na nilishapiga hadi wanaonizidi wengine kama dada zangu wakubwa lkn bd wanalalamika sijui tufanyeje!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna mtu anataka kupetiwa kule wahi nafasi mkuu
 
Mkuu wewe huwa unakula vizur unakunywa maji yakutosha unapumzika baada ya hapo unaanza gemu hapo razma uwe na nguvu za kutosha fanya siku moja leo ule chips kesho pata gemu uone kamoja tu hoi kingine uko vizuri hufanyi mara kwa mara so siku ukipata hatar ww kama mm kiboko usile utapata jibu
 
Wala usiwe na haraka subiri majukumu yaanze
Kodi ya landlord inapokutana na school fees za watoto wawili, tena wa English Medium, afu kijijini wanasubiria utume Mpesa ya palizi na mbolea, dogo wako wa undergraduate kazuiwa kufanya semester exams mpk amalize ada, Mamsap anakukumbusha ule msaada uliohidi wazazi wake Kijijjni!
 
Sasa wewe unagegeda dada zako,
 
Dogo unapigaga squat mnk mimi kuna kipindi nilikua napiga hayo masquat nilikua km robot kitandani matokeo yake nkajikuta natembea na watu wazima mnk watoto wanachoka na kua kero kmtu km unfny mazoezi ya miguu punguza
 
nikupe namba ya wema?
 
Bado changamoto za ofisini na uchovu wallah ukipiga mbili...!
 
Hata ukinishikia Bunduki huu ushauri wako hautekelezeki
 
Na mm nina tatizo hilo. Na nina imani na ww utakuwa mwanaume wa mkoani.
 
Aise unapatikana wapi,kwani mm nahitaji unipunguzie,mm natafuta tiba nguvu zimepungua wengine wanataka kupunguza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…