Msaada: Kupunguza nguvu za kiume

Utakua Hujui,huwez Au Huna Umaridad Katik Game,unatwanga Km Mtu Anatwanga Mahind Kwenye kinu apate unga mwanzo mwisho lazima mtu akuchoke na aboreke!
km unauwezo wa kusimama mda mrefu jifunze kufanya fore play vzur na fanya hata saa nzima yan mpk umkojoleshe kabla hata hujaweka!
ukiweka kitu chenyewe atasikia raha huku unamsoma anavojisikia ukiona milio sio ya raha tena bali ni maumivu na sura anakunja,toa mchezee tena ndo uendelee!hata km utafanya masaa mawil atachoka ndio lkn atasikia raha na hawez kukukimbia!
tatizo ni kutojua kufanya maandalz ya mwanzo na katikat ya game,ukosefu wa utundu na ubunifu na mawasiliano kat yako na mwanamke wako wakat wa game,ndo kunafanya wasitake tena kuwa nawe!kuwa na nguvu nying sio tatzo,tatzo hujui kuzitumia!
usitumie nguvu nying tumia akil nying utaona mabadiliko!
 
Huyu jamaa wa ajabu kweli, Mi nadhani kwanza unatakiwa ufurahi kwamba Mashine yako iko Sawasawa, Full mzuka kwani Maelfu ya Wanaume hata bao moja kupiga shughuli wanakesha kutafuta dawa za kusimamisha. Cha msingi Piga fore play ya kutosha na kama unapiga nyeto, ACHA.... Inapunguza hisia za papuchi... Otherwise uko Poa... Jipigie makofi[emoji16][emoji16]
 
Dawa yake ndogo sana kijana
Tafuta bahasha
Utuletee mrejesho

 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] dr love nakutatulia tatzo lako upo WAP kjana nkusaidoe
 
Hahahhaha! Lazma ukae
 
Aaaaa, kumbe nguvu zangu umejilimbikizia wewe?
Nilikuwa nashangaa nguvu zangu zilikwenda wapi. Funya fasta nirudishie hima.
 
Ukiona hadhira inafurahia na kupiga makofi, ni sifa kwa fanani.
Shukuru kwamba pia unabahatisha kupoint papuchi nzuri na tamu. Kuna zingina ukikutana nazo tu hazieleweki. Binti ana viharufu vya ajabu ajabu, vuzi limejaa, papuchi ina maji kibao, mood yote ya kula mzigo inaondoka. Dushelele halitasimama mkuu. Usiombe kukutana na mtu wa style hyo. Utakuja hapa na thread ya kuomba njia za kuongeza nguvu kwa sababu utapiga bao moja tu, dushe litalala na halitaamka mpk baada ya masaa mawili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…