Msaada kupunguza page kwenye Pdf

Anza kwa kuinstall library ya PyPDF2 kwa kuandika hii command πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

...pip install PyPDF2

Ukishamaliza Anza kuandika script hii fupi ya Python kama ifuatavyo πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

from PyPDF2 import PdfReader, PdfWriter

reader = PdfReader("input.pdf")
writer = PdfWriter()

# Chagua kurasa unazotaka kuweka

for i in range(len(reader.pages)):
if i not in [5]: #Hapa itafuta ukurasa wa 6 kwakua index huanza na 0.
writer.add_page(reader.pages)

with open("output.pdf", "wb") as output:
writer.write(output)

Ukimaliza save, kisha run hiyo script 😎😎

NB: hii itarun kama kompyuta yako iko na python πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….

Kila la heri.
 
Hello wana jf, naombeni msaada kwa wataalamu mnaofahamu jinsi ya kupunguza page kwenye pdf, yani pdf ina page tano sasa nataka zibaki nne moja niitoe
Mbarikie sana wana jf kwa msaada wenu zoezi nimefanikiwa kulimaliza kwa kufuata maelekezo yaliyotolewa nanyi mungu awalinde
 
Hello wana jf, naombeni msaada kwa wataalamu mnaofahamu jinsi ya kupunguza page kwenye pdf, yani pdf ina page tano sasa nataka zibaki nne moja niitoe
Tumia Nitro ni perfect aiseee unaediti pdf, word, excel hata kama iko locked pamoja na kuongeza maneno unayotaka bila kuathiri page yako
 
Tumia sejda.com Online pdf editor

Hata kama huna uzoefu unaweza kufanya manipulation zako zote online kwa dakika chache tu
 
Tumia Nuance power pdf advance hiyo ndiyo Kila kitu hadi ku- reduce File size
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…